PENSIONERS JIANDAE, NAOGOPA YAJAYO.........

Kama hela za korosho na mazao mengine zimevurugwa kwa kuvunja sheria wazi wazi, wastaafu (pensioners) jiandae. Atafuta pensions zote. JIANDAE KISAIKOLOJIA NA MAUMIVU. … “akimaliza kwetu anakuja kwenu” by Tundu Lisu.

Nadhani ataacha za wanajeshi tu maana ndo kikundi pekee anachokiogopa. Kuna taarifa kuwa amewaongezea Salio (mishahara, resheni & vinywaji). Kuanzia mshahara wa July wataanza kula bingo ilhali wafanyakazi Wengine wakiendelea kusugua benchi. Kumwongezea mfanyakazi increment 1 nidharau ya hali ya juu sana kwa wafanyakazi within miaka 3 ya Fedha.

Inasikitisha sana…

Kupanda mishahara na madaraja kwa Watumishi wa umma kupo kisheria…

Lakini kwa huyu jamaa imekuwa ni HISANI…

Mpaka atake yeye.

Ukijiajiri tabu tupu kodi za kufa mtu ukiajiriwa stahiki zako mpaka jiwe afurahi dah! Kweli V-wonder

Yajayo yanasikitisha sana:cool:

Akimaliza kwenye kwenye akaunti zenye uhusiano na serikali atahamia kwa wafanyabishara binafsi…

[FONT=courier new]Chuki zenu Kwake sasa zimezidi na hazivumiliki. Naamini ni ’ Wapumbavu / Mapopoma ’ wenzako tu ndiyo watakaokuelewa na kukuamini kwa aina yako hii ya ’ Upupu / Upuuzi ’ uliotuandikia hapa. Hata mumchukie vipi au mumseme vipi ila Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama na muda wake wa awamu ya Kwanza utamalizika mwaka 2020 na bado Watanzania wenye ’ akili ’ timamu na kubwa wenye ’ imani ’ nae kubwa tutamchagua atuongoze tena hadi mwaka 2025 na tukiona inafaa pia tutamwomba akubali atuongoze hadi pale Yeye mwenyewe atakapoona amechoka na anataka Kupumzika.[/FONT]

Bila shaka unajua hela za korosho zilikoenda.

Hmm!..

[FONT=courier new]Mtabaki hivi hivi na huu ’ Ujinga ’ wenu wa Kudandiadandia tu ’ Hoja ’ mkidhani zitawasaidia kuwajengeni Kisiasa na Kianaharakati. CCM ilikuwepo, CCM ipo na nina uhakika tena wa 100% na nikiwa na jueri zote kuwa CCM bado ina miaka kama 5000 ijayo ya Kutuongoza Watanzania.[/FONT]

Hata hapa na wewe ulichotuandikia naamini watakuelewa matahira wenzio wa lumumba.

NINA HASIRA NA NSSF NIKIISIKIA NAJISIKIA KINYAA
[ATTACH=full]180422[/ATTACH]

Na nyie mtabakie hivyo hivyo kwa huu ujinga wenu wa kuminya uhuru wa kujieleza na kuwakamata wanaosema ukweli mkidhani kutawasaidia kuwajenga kisiasa.

Meffi wewe.

Kwani mkuu hela za korosho hamjapiga.??? likatae hili kwa hoja sio porojo

[FONT=courier new]Unachokitafuta Kwangu ’ very soon ’ utakipata na nadhani Mimi siyo Mgeni Kwako. Endelea tu kujaa katika ’ Frame ’ nikuwashe vizuri tuheshimiane![/FONT]

Nnachokitafuta kwako ni majibu kuwa wew na unao wasifia hela za korosho mmepeleka wapi?
Jibu hoja acha vitisho wewe. unamtisha nani sasa kama huna cha kusema nyamaza acha kusifia ujinga.

Na 1.5T

Hao ni wabeba mikoba hawana wanalojua kazi yao kubwa ndio hiyo ya kuja kutukana huku mitandaoni mwisho wa siku wapate 7000 siku ziende.

Gentamycin umefuata nini huku KT. Bakia huko JF (TZ) ili usisikie hicho unachokiita “upuuzi wa mapopoma”. We we kujiunga huku inakuhalalisha kuwa " popoma" LA upande wa pili!

Heshimu uhuru wa watu kutoa mawazo yao kama umekunywa maji ya bendera ni wewe usilazimishe kila mtu awe msukule wa lumumba.