Pendekezo [Muhimu]

Jukwaa la matangazo madogo madogo silioni,au huku ugenini hakuna matangazo

Ngoja Mods walione hili wanaweza kulifanyia kazi…

Sawa mkuu

Haswaaa. Mods walifanyie kazi ombi lako.

Wazo zuri