Ati Varane kichungi , mumenunua kiwete ako 50 years akuje EPL kukimbizana na watoto . EPL defender amepita 26 years hawezani nayo uliza ile umbwa ya Chelsea Silva amekimbizwa juzi mpaka akaumia
Ronaldo ni punda mzee, anafaa kucheza Charity matches na kina zidane. Watu wa man u kama kina @kush yule mnono najua watanyamaza sana Kwa sekeshen ya sports.