Ogopa wanawake

Jana boy wangu, good boy wa kanisa, praise and worship ananipgia. Amekuwa loyal miaka mbekse to manzi walipatana kanisa. Sasa kitu ni, jamaa alikuwa anangoja harusi ndio akague vitu juu hivi ndio biblia imesema. Hawa ndio watu huambiwa wasome Solomonic prophecies but they insist New Testament ndio kusema.

After miaka of thinking dame ni Virjo, anapata rambi rambi kuna time in Uni dame alifanya ‘fornication’ lakini alitubu na akapata deliverance from hiyo thambi ndio maana she didn’t find the need to tell him.
Hii story inakuja saa hii coz saitan alikuja Kati Yao na akakuta vitu kuambia mwili pole after lent ya 2021. After the deed hakuona damu akashangaa iko nini…akaingia WebMD akasoma madame wengine hymen ikivunjika hakuna damu… :smiley:

Nimemshow najua mtu Kenya Forest Services anaweza msaidia but anadai huyu ndio aliwekewa na mungu ataendelea na yeye.

Ogopa Sana.

He will definitely require the Forests of Kenya Map somewhere down the line…
Ensure he gets it.

You can’t marry a virgin nowadays. Very hard. In fact the ones in church ndio wako na mileage kubwa kuliko hawa unakuta kwa pubs wakibugia keg na mogoka wakiwa na akina @cortedivoire

I have broken a couple of girls virginity and there’s no fun in it.

We have someone Kwa kijiji. @Jimit you have not delivered the maps as agreed. Tafasali Saidia hapa

Hii udaku yote jameni. Issue ni dame haku confess mbeleni? Are they engaged? If not, hakuna kesi. Infact my advice ni waachane tu because the guilt and regret will destroy their relationship. Why did the guy feel the need to go on WebMD? So weird.

The guy feels betrayed…alibebwa upuuss. That’s enuf kumalisa jamaa. He will leave her.

He feels betrayed because whereas the woman had sex against their beliefs, he has remained a virgin.

Yeah definitely, but he also betrayed her by initiating their fornication. That’s the problem with dating for many years.

Hizi fetish zenu zakutaka mabikra muwache, virgins are annoying and overrated. Na pia why be a bitchyyy boy and ask a woman how many people she has slept with? Hiyo swali itakusaidiaje?

That along with riding bicycles too much during childhood falls in the hymen breakage theorems of the modern epoch.

I have a friend who believes in that nonsense…ati no sex till marriage. Ni mtu church sana.

…have you ever wondered why the hymen is there? A man was supposed to marry a virgin that’s why they came as a complete package. Sealed!
Sahi unapata dem seal ishatolewa. Meaning the goods have been tampered with. Tafakari hayo.

Atafute Okavango, bure atakiona cha Osama

99% of wanawake huolewa huwa sio mavajo. So why should your cousin … eeh … friend be a ‘saint’ kupata dem aliwai binjwa 20 years ago, ata yeye aliwai binjana before that day

Finding out alidanganywa ndio shida. That can crush a man’s ego. Sa aje? That’s a question he must be asking himself. Tayari kitumbua kishaingia mchanga…

nimeanza kuchekea hapa
[ATTACH=full]362385[/ATTACH]
risala za rambi rambi zimufikie huyo morio. Wueh!!!

Chief conservator Embobut amtaftie mahali.

Alafu that myth that a girl will always love her first is a lie.