of my uncles wifi

kabla m iniambie NV Keri pale skia hii hekaya kwanza, matusi baadae.
so si kuona vitu anko was kwenu alihappen kuangukia jackpot ya kuenda majuu akawacha mubibi.amekua akituma tu mbesha ili bibi akule mzuri. sasa ukuskia wewe eti fimbo ya mbali haiwez kumuua nyoka. lazima iyo commer iko peasants wanagonga mileage HKMKND.soo anko ucall na bibi umwambia iyo kitu iko place yake ata karibu inamea cobwebs. (aki si wanaume wengine sisi udanganywa tu roho safi)… sasa ndo huyu mimi jioni moja nachapa job Yangu ya bodah kama kawa juu Chuo tulisoma but works maze ni nadra na lazima familia ikule b4 ukufe fossil maskini. apo stage jamaa inanipigia, eti wewe mtu ya vikiviki iko mwanamke ako apo stage nataka ulete kwangu. came to realize later the jamaa was a senior principal kwa some village school.si mimi nikasema sawa nikategea huyo muwoman akuje. ilikua kutu 7:30 ivi nikaskia mtu anatap mabega yangu eti wewe ndo umeambiwo oniveleke. nikasema yes ni mimi bila ata kuangalia ni nani juu akili iko kwa mbesha. Mimi huyo kwa nduthi yanywo adi gate ya sonko principal juu direction nilipewa kitambo na nilikua najua. juu ya nduti naskia nashikwa shikwa apo karibu na lower abdomen vipoa maze.“aki nyinyi hamskiangi baridi na hii kazi yenu”,tumezoea madam. vuuuuuuuuuuuum vuuuuuum, tukafika kwa gate kushukisha mzigo nipokee mbesha Yangu wakati nilitoa helmet ndo nilistaajabu ya kanjo kushtukia ya polisi. ile coomer nilikua nimebeba ni anti wa kwangu ule jamaa yake anaaambiwongo coomer iko safe.wah nikaduwaa na kupigwa na mbumbuwazi.kweli wahenga walitupaka mafuta kwa chupa ya mgongo.second episode coming afta matusi na comments.

9 Likes

Woooiiii, Bosire rudi Pangani police station kwa cell…Meffi.

9 Likes

any other matusi kabla niendelee pliz

Hapa mi sisemi kitu kuhusu vruuum vruuum…

3 Likes

Si kwanza unaitisha pesa double hii ni business opportunity from both

2 Likes

Nipatie password ya iyo wifi

1 Like

Why is this thing rated 18+?Sioni kitu yoyote hapa ya kushtua even under 14.

1 Like

wacha under 14, hata mtoto wa nursery atasoma naendelee na shughuli zake

8 Likes

enda ukule mrabwoni tumbaff

hekaya ni swaf tulieni elders

Infertile, almost barren, imagination.

1 Like

Hekaya imechangamuka part 2 ikuom…

unaharibu time na elders wana time kidogo sana. Araka upesi, leta hekaya, kubaff! Otherwise direction unachukua zi mbaya zana.

hii hekaya iko na maudhui tanakali za sauti vitendawili methali dooo do!! ata alama za mshangao !! nawauliza wazee wenzanguni kiti cha nv mekiweka wapi?!

2 Likes

Gaki ii ekaya iongeswe nyasore…

3 Likes

Aliyekuroga kiasi cha kuua lugha zote mbili kiasi hiki ako juu. Itabidi uzikwe siku Saba ndio utopolewe.

1 Like

Hapa mi sisemi kitu kuhusu vruuum vruuum…

hahahahahah craizy

Lete hekaya omogusii

Jifunze kuquote meffi wewe
kacheze na hiyo kwanza

[ATTACH=full]44814[/ATTACH]

2 Likes

Aiiyayaya… ATI Safi?? You have a small brain if at all this crapy attempt at a hekaya can get your accolade. Birds of a feather.
NV… … … >> keto huko mkiboeshana na hii dander.

2 Likes