of my uncles wifi episode 2

After a people hauling those matusis, mockery, appreciations,likes and nincompoopic comments I am pleased to bring you episode 2.but b4 niendelee some big grown up asses need to go to literature classes so as to appreciate humour. meeeen,your ignorance in some literature demographics is so so so so very wanting. okey new villager hataki kujam hii morning juu ya petty petty things za kuwank na vile Leo hakuna kurusha mawe town na kukulishwa teargas.kumbaff,wacha nimalize hekaya nifike threshold venye nanii alisema. nilikua nimewachia wapi…hoooooo apo kwa gate, wacha niweke matacoo vizuri kwa hii kiti inakaa iko invested na kunguni ndo nitype poa,si unajua hizi cyber za village ufagiliwa tu once kwa every month,so dust unaeza kua I me keep izo Vikunguni apo kwa kiti.
Ndo hao apo sasa kwa gate mimi nataka kupewa mbesha ya ndhiti or this thing you call vikiviki.Katika ile hali ya kutoa helpmate nipokee pesa, nikaona macho yangu inataka kunidanganya, that lady was my very very anti, ati kasee, wah macho zilikwarusana kama time ya paka inamenyana na joka.what tha f*****k.uuuuuuuuwi antiii wewe ndo unacopulate na coomer ya anko wa Amerika.Ile mijamaa sijui senior nyoko nyoko whatever si ilianza kuuliza,wewe kijana ya vikiviki kwani unajuana na matam,“Yes mkubwa heeeeee,ni costomer wangu.” bla bla mingi apo kwa gate pesa yangu kwa mfuko tena alinipa 500 akasema kunywo chai kijana sasa umekua customer utakua ukileta madam. ata nilifunga job koz that money was enough for a long days job.si unajua village 100 inaeza kumalizisha ata mwezi na hii ni 500 nilipewa. strait adi kwangu, that day I needed no supper, soniliingia bed beused na mawazo Sana. nikapiga moyo konde nikasema kesho lazima niende kwa huyu antii nimuulizeko mbona anagawa slices za wenyewe kiholela holeha ivo.kabla hasubui ifike nikapigiwa simu tena niende nichukue yeye.kumbe vitu mbaya ufanyika usiku, ukuskia ata Jacob Juma aliwekelewo chuma moto usikwo.mbio huyo mimi kwa gate, juu ya nduthi hatuuongea adi nilipomfikisha kwake.akaniambia tuingie tunywe chai tuongee ndo niende. haya tukaingia, inaelekea 6:17.Sikutaka kujifanya sijui kenye inaendelea,but nikamuuliza,antii,wewe pia ufanya hizi vitu.wah ile jibu nilipata,"wewe unexpect mwanamke akae ivo hii miaka yote ati anangojea mtu ako Amerika,mwanamke pia hutamani"woooooi jeso,that statement was a good recipe to ignite mr jonny aka commando colloboster ndani ya boxer, unadhani ata chai nilikunywa, strait juu ya kiti kunja antii njoti mbili mzito kesi baadae."najua ata wewe ungekataa hii kitu ".“hehe hehe, anti unajua SAA ingine ni kujipata”,"utakua ukipata so long as ushone mdomo yako. kweli this thing is irresistible. long story short, mimi uendeanga slices zangu najitoa na pia huwa nachukulianga huyo principal pia yeye anapiga asante yake.so long as huyu ni blood from another mother sioni kama ni incest .hii ni willing giver, willing buyer situation. wee kaa apo ukisema umeoa umewacha bibi village umejengea yaye mansion na bado unakimbia na tudame twa Nairobi uni in the name of kufanya job. hata sisi watu wa piki piki tunawachungia bibi zenu uku geshagi. meanwhile ukiendelea kushangaa ivo ivo antii amesema next month ananinunulia brobox ya kutoa makaa Narok to Nairobi ndo niwachane na biashara ya bodah sababu kifua inaeza leta shidah na baridi ya asubui.mwisho wa hekaya. unaeza toa maoni yako Kimaantiki kulingana na hekaya hii. ni hayo tu kwa sasa.

8 Likes

Shut down hio computer ya Cyber na utoke hapo mbio mbio uwache kutusumbua …mefiosis wewe

3 Likes

are you high on something nigger, hakuna mtu ama kua u mvua bila wewe ndo umejisumbua kusoma. pole you look like a recuperating AIDS patient.

1 Like

saaasa weeweee ???naona kisii naona mkamba. hio pesa ya cyber ungekula “ngumu” na softa soda .

Very boring
02/40

2 Likes

You are neighing like a horse.

1 Like

Moja ni Kunguni,
Wengi ni Kunguni.
Confirm with that ktalk pilot.

What was that?

2 Likes

Bosongo naki ere?

1 Like

Are you by any chance related to one wakathambi?

1 Like

I hope hukuwa invested na kunguni

2 Likes

hii osungu inatoa engineer in his true colours…[SIZE=1]but i liked the hekaya[/SIZE]

2 Likes

hehe hii ni key-c kweli

Ile strain ya AIDS utapata bado haijaonekana kwa lab yoyote kijana! Na mtazikwa Friday moja na huyo principal!

Slices na unaumira

hii ya pili umechemsha sana baridi ya kifikifi ime erode akili

aki mkisii umenichekesha sana hii shid aya matamuchi kumbe inaanzanga kwa akili sio kwa mdomo ati

Ukuga atia Mwalimu? Kai uhootirwo ni heho?

[ATTACH=full]44895[/ATTACH]

2 Likes

ndiri na uuru baba umuthi shughuli ihaanire cia kwa ngoma…no niguo weega ciana cione gia kuria…