Nmeenda

254 outbound …

Hata picha ya ticket?

Hata chrome ukituma. Safe journey. Meffi wewe

Wapi effidence?

Hata thermal ya outbound tutashukuru.

Ata mattercore ya air hostess wa Pakistani airways hakuna

Safe journey.

tokomea mbali ngamia ya abdul wewe

Safiri salama stay well

Safe journey bro

Fika salama kaka.

Safari njema.

Safe travels

Safiri salama. Abdul yuasubiria!

Na ubakishie Waithereroo sperms,hapana mwagilia yote kwa waarabu

Hehe … nmefika poa alaf bhangi za muArabu zinamsho anipeleke quarantine na mafala wengine ju mmoja wao amepatikana akiwa covid +ve na nlikuwa nmekaa karibu na yeye side ya pili ya aisle. Hawa majamaa wanaufala banae

Gaaay

Earlier on pale 36,000 ft …

[ATTACH=full]412385[/ATTACH]

Just been checked into Raddisson blue to await swab test kesho ngware before niajiliwe if results ziko swafi. What to do now …

[ATTACH=full]412386[/ATTACH]

Itabidi tu sasa ibambe adi chee …

[ATTACH=full]412387[/ATTACH]