Njooni tuondoshe tandabui..

Wakuu diasporas wa Jf wote, hebu jitokezeni kidogo tuondoshe vumbi na tandabui hapa jamvini kwetu, wenyeji walitukarimu vizuri wakati ule wa matatizo sasa sio vizuri kuutupa huu uwanja isije siku nyingine tukaona aibu kuja kubisha hodi huku pindi yakijitokeza tena matatizo kama yale ya awali na wakati huo huenda tutakuwa tumefungiwa mlango huku…
Wee comment chochote tu kuonesha uwepo wako bila shaka hata wenyeji wetu watafurahi…