Nini husumbua wa TZ haki? Kuna kaujinga hawa jamaa huwa nayo that borders on hilarious.
[ATTACH=full]369104[/ATTACH]
ni kama alitandikwa banae:D:D:D
I would have done the same. Nini analeta kiherehere mujamaa akiwa gym
:D:D:D Gym siyo? Wenzenu waliokubali masomo wainua vyuma.
Great acting:D
:D:D:D:D:D Ati alienda shule kutongoza wasichana
Twice hii kijana imewekwa kijijini. I sense a marketing ploy