NIMEWAKUMBUKA SANA

Uchira 1

Senior Villager
#1
Nikiwa kama mwana jf nasena nimewakumbuka na nimewamiss sana wakuu wa uzi mbalimbali hasa wale wa kazi wa karibu uzi zote za maana na wale wakali wa uzi za story kalikaili na wale wakali wa mada na wakoroaji wakuu hasa usipo waunga mkono kwa kile waaminicho wao, wale wakali wa uzi wa kupumzisha kichwa, wakali wa madarasa mbalimbali.

wafuatao nimewakumbuka na nimewamiss sana ila wengine nimewasahau majina yao na natamani waje huku tuwe pamoja, tafadhali nawe orodhesha wale unaowakumbuka

Mshana jr
Chamdeko
Mlw RCT
Kunguni wa Ulaya
Konki Kichaa
Eminentia
Msela Baharia
Mahesabu
Masamila
Daudi Mchambuzi
Bucho
Tang"ana
Hunyu
Tibim
Mzigua90
Smart911
Archduke
Salumu Hemed
Kakajambazi
Mike 400
madame s
 

Top