Nimeitwa jina mzee-ime nichoma

Meria Mata

Elder Statesman
#17
Quick rant.
Wadau nimeitwa mzee asubuhi hii yote.ime ni choma because I'm barely thate years!!
Eti "huyu mzee ata kulipa"
I have got to hit the gym na ni wache chipo sasa.
Ime nichoma sana hilo tusi.
Worse part is that mtu ana niita mzee ni mzee ata kuniliko!
wueh, last week i got an offer on phone that i can get 1gb safcom for 50 bob, nikaload finje chapchap kajaribu kununua hizo bundles, after succesfully doing everything msg ilirudi nikaambia "Hi Meria , you do not qualify for blaze bundle as you are above 26" that made me feel like am 100 yrs.
 
thesavage

Village Sponsor
#18
Hilo ni jina la heshima. Mimi matusi yamenisinya ni kuitwa kijana. Majuzi hapo mariakani nimepata ISP kwa barabara akaniita kijana. Eish.
 
Last edited:

gashwin

Village Chief
#20
wueh, last week i got an offer on phone that i can get 1gb safcom for 50 bob, nikaload finje chapchap kajaribu kununua hizo bundles, after succesfully doing everything msg ilirudi nikaambia "Hi Meria , you do not qualify for blaze bundle as you are above 26" that made me feel like am 100 yrs.
And that there is what annoys me about safaricon. if you do not qualify why send the annoying message in the first place?
 
Top