Nimefika Uhamishoni:Naomba Kiti

Wakuu,
Sijaunga mkono hatua ya Serikali kuweka ada kubwa ya usajiri wa utoaji wa huduma za mitandaoni na najua siyo kwamba JF wamefungiwa na TCRA kuwepo hewani.
JF hawapo hewani kwa kuwa hawataki kukubaliana na takwa la sheria inayowataka kuanika wazi taarifa zao kwa mamlaka inayohusika na mawasiliano.
Kwahili JF nawapongeza na mimi kama kada wa Chama na mtiifu kwa Serikali ya awamu ya tano jsmbo hili siliiungi mkono.
Mapambano ya kudai uhuru wa kupushana habari uendeleee.
LONG LIVE JF!

ka mkuuu

Karibu mpaka ndani mzito. Jibambe :D:D
[ATTACH=full]176826[/ATTACH]

Karibu ugenini mkuu

karibu sana

:smiley: KARIBU SANA NA WEWE UTAWAKIMBIZA 2020

mkuu karibu sana ingawa ukifika ugenini au kambi ya wakimbizi chochote utakachokikuta kalia.huku viti hakuna ni maturubai,majamvi na mikeka

@Antonio Mascaro ahahaha,unataka kunuliua

Karibu sana. Yatima hadeki!

Pale kuna mtego wa kukupeleka mahakamani na wao kushinda kesi sio suala la ada ila ada wameiweka kama kigezo cha kushinikiza watu wajisajiri.