Ni mambo gani mazuri hukujia ikiwaza au ukisikia Kenya?

Kwanza nitoe shukrani kwa majirani zetu kwa kutusitiri. Nafurahi pia kujifunza mambo mapya maana nimeshaanza kuongea na sheng:D

Ni ishu gani nzuri hukujia unaposikia kuhusu Kenya na wakenya?.
Mi nikisikia Kenya nawaza kuhusu twist, Lupita Nyongo, katiba yao mpya iliyoleta county system siku hizi na Churchill show hasa MCA tricky.
vipi wewe?

Mi naona wana bahati sana kuwa na Vera Sidika.

hata siwaelewagi, labda wako bize sana

Hahahah!! Umetisha sana mkuu

Florida na Casablanca za Mombasa na pale opposite na hotel 680 Nairobi

Mtanzania utamjua tu na hoja za kipumbavu kipuuzi

Washukuru hao wapuuzi na wapumbavu wanakuletea mahindi na sukuma wiki usife njaa.

[QUOTE=“REDEEMER., post: 1659767, member: 36272”]
Mtanzania utamjua tu na hoja za kipumbavu kipuuzi
[/QUOTE
Nyie watu hamuuishi ugomvi[/QUOTE]

Tofauti ya watanzania na wakenya kwenye social media ni kuwa . Watanzania tunaongea kama vile tupo nyumbani au mtaani au kwenye kijiwe cha kahawa. wakenya wanaongea utafikiri wanajibu mtihani, hakuna cha sense of humour wala nini. Mnatakiwa kurelax mitandaoni, au mnaogopana!??

Hmm!..

Umemaliza kunya nikutawazee?