Ni kweli Chato inajengwa stadium ?

BAK1

Village Elder
#2
Hakuna anayesema Mkuu kwa kumuhofia kichaa anaweza kuondoka na uhai wao. Uwanja wa ndege wa Chato hauna umuhimu wowote kwa Watanzania na ukatengewa bilioni 2 tu kwa ajili ya feasibility study lakini hadi sasa inadaiwa zimeshatumika bilioni 300 katika uwanja huo ambao unasemekana utakuwa wa Kimataifa. Je, Chato kuna demand kubwa ya wasafiri kuhitaji airport ya gharama kubwa kihivyo? Jibu ni HAPANA lakini yeye hajali anatumia wadhifa wake kwa manufaa yake na waliopewa zabuni ya kujenga uwanja huo inadaiwa ni kampuni yake ambayo imelamba mabilioni mengi sana tangu alipokuwa Ujenzi. Stadium pia Chato haina umuhimu wowote kwa Watanzania ila tusishangae katika miaka michache ijayo sherehe muhimu za Kitaifa kufanyika Chato maana kuna rumours kwamba kichaa kajenga hoteli kubwa sana kule ya kwake yenye hadhi ya Kimataifa.

Nimeona mahali kuwa Chato inajengwa stadium , habari hii ni kweli? Kama kweli tunakwenda kubaya! Yale yale ya Mobutu!
 
Last edited by a moderator:

Sky Eclat

Village Elder
#3
Hakuna anayesema Mkuu kwa kumuhofia kichaa anaweza kuondoka na uhai wao. Uwanja wa ndege wa Chato hauna umuhimu wowote kwa Watanzania na ukatengewa bilioni 2 tu kwa ajili ya feasibility study lakini hadi sasa inadaiwa zimeshatumika bilioni 300 katika uwanja huo ambao unasemekana utakuwa wa Kimataifa. Je, Chati kuna demand kubwa ya wasafiri kuhitaji airport ya gharama kubwa kihivyo? Jibu ni HAPANA lakini yeye hajali anatumia wadhifa wake kwa manufaa yake na waliopewa zabuni ya kujenga uwanja huo inadaiwa ni kampuni yake ambayo imelamba mabilioni mengi sana tangu alipokuwa Ujenzi. Stadium pia Chato haina umuhimu wowote kwa Watanzania ila tusishangae katika miaka michache ijayo sherehe muhimu za Kitaifa kufanyika Chato maana kuna rumours kwamba kichaa kajenga hoteli kubwa sana kule ya kwake yenye hadhi ya Kimataifa.
Mkuu rumours has it anampango wa kufanya Biharamuro kuwa game reserve na watalii watafikia kwenye hoteli yake. Ndiyo maana uwanja wa ndege wa kimataifa unajengwa.
 
TanzaLand

Moderator
Staff member
#4
CRDB COMMITS TO SUPPORT CHATO STADIUM PROJECT
From DAILY NEWS Reporter in Chato
10/03/20180 Maoni
The Bank Executive Director, Charles Kimei made the remarks yesterday during an occasion to officially open bank’s Chato District branch in Geita, initiated by the then Chato MP John Magufuli over five years ago.
Magufuli is now the Fifth Phase President of Tanzania and he graced the opening of the branch. Magufuli thanked the bank for the support toward sports development in Chato and country at large.

However, he said the stadium must carry the bank’s name for it to promote its business through sports during the events. “I want the stadium to be called CRDB rather than carrying my name, it will help promote the bank, while it hosts matches,” he said.
For the start, the bank has contributed 50m/- for the construction work of CRDB Chato Stadium after Chato MP Medard Kalemani called stakeholders to donate for the project. “Since the stadium will be named after the bank, the stadium has to resemble the bank’s status...” Kimei said.
Kimei said that since sports are very important for creating employment, improving health and well-being of the people, the bank will enter full throttle to support the project. He said they will also sponsor Chato team that will compete at the top level for the individual and country benefit.
“We understand that Chato has vast of sports talents, they only need support to be able to compete at national and international level. We will sponsor the team to reach the goal,” he said
. Kimei expressed optimism that Chato will prosper in sports and help Tanzania initiative to promote sports to high level
 
kyekomakubi

Senior Villager
#5

Kumbe kweli!
 
Top