Ni how how much

[MEDIA=twitter]1616529267428392973[/MEDIA][ATTACH=full]491770[/ATTACH]

Pesa ngapi ndugu, unaeza leta hii Garissa

Hizi ni from ksh. 25000

25,000 or 2,500 ?

Nice one. Inakaa inataka mtu wa gari from home parking to office parking, otherwise hio sole itatokania hapo imenti house as you trek from railways to koja.

Lets say around $200

Overrated. Bei ya kiatu ya kazi ikeinda sana ni 5k. Kama mbaya, mtumba nyale

Kama huna gari Kuna hizi Michelin, unazivaa kutoka railways hadi koja, ukifika job unazitoa, unavaa hizo za 25000. [ATTACH=full]491773[/ATTACH]

That shoe is hideous. I wouldn’t buy it even for 2k.

Kuna jamaa wanatrek from Daggoreti corner to Ngara hiyo umesema ni kidogo

Hata Mimi you will never catch me wearing that shit.

Looks dope… For office and casual wear… Needs you to be at least 6ft plus tall to rock such shoes.

What in the world are those, neither derby nor oxford shoes. Looks like his maasai herder made those. Crappy sole will mess your feet

Kuchukua gari za westy? Lakini kwa nini wakenya hawapendi kuwa practical? Unapata msee ako job westy badala achukue nyumba Uthiru, Kangemi, Kabete ama hata Ongwaro jamaa anaishi Thika Road ama Eastlands.

We are the King’s men, we wear Brock’s

What a fugly shoe…yaaack…

[ATTACH=full]491796[/ATTACH]wacha nistick na hizi

Most underated shoe. Hii kitu na socks mzuri ya cotton ni pure heaven for your feet. Plus you never have to worry about this:
[ATTACH=full]491842[/ATTACH]

I agree akala ni very long lasting, hii hata wajukuu will inherit :D:D.