New tax will kill betting in Kenya

The 7.5 percent excise duty is contained in the Finance Act, 2021 that was signed into law on June 30.

The betting firms are required to withhold and transfer to the KRA Sh7.50 out of every Sh100 wagered regardless of whether the punter wins or loses.

https://www.businessdailyafrica.com/bd/economy/betting-firms-ignore-7-5pc-tax-on-stakes-3463788

Basically hiyo tax haiwezi kuwa transferred kwa customer. It must be cut out of any stake the customer places.

Nimejaribu kuplace pale sportpesa, ona zile pesa zote inakata:

[ATTACH=full]375310[/ATTACH]

RIP betting in Kenya

Its time to use international bookies my guy… hii serekali ya jicho nyanya wants to tax kilakitu… soon utalipa serekali kudinya wife.

Naona kuna opportunity ya bookie mwenye atatumia crypto kufanya offshore gambling in Africa

Finywenii kabisa. Betting haisaidii uchumi na kitu.

Sasa waongeze VAT. Unafikiri 2b za kuibiwa kesho zitatoka wapi?

Sai mtu u should not even think of betting labda ata jackpot kama ni mbaya…hii gava is so greety ata hizo international bookies zimeanza kuwithdraw nakumbuka Betfair ilijitoa.

Kuna betting sites kadhaa zenye hazina tax na unadeposit na kuwithdraw ukitumia M-Pesa. Kuna hizi articles ziko kwa website ya [B]Free Bet KE[/B] unaweza cheki na ulearn a thing or two.

- [B]Betting Sites Without Tax in Kenya[/B]
- [B]Best Betting Sites with Bonuses in Kenya[/B]

[ATTACH=full]377390[/ATTACH]Free Bet KE

Gambling is worse than using drugs or drinking kumi kumi

That’s not actually true @Micymas. I’ve lived off gambling since my University days and I’ve done pretty well.