chunga mhehe @T255 asiisome hii comment yako. Kwa mtazamo wake, Mtanzania kukiri kwamba wakenya wamewazidi watanzania kwa jambo lolote jema ni usaliti mkubwa ajabu.
Kulipiza kisasi, atamchunisha mkeo “sukuma” - kama ilivyo kawaida yenu wabongo.
Huku Kenya twaziita FMCG(fast moving consumer goods). Vitu ambavyo vinaenda kwa kasi. Kwanza katika wholesale lazma bei iwe chini. Ili kupunguza competition kati yako na wauza ‘reja’(retailers). Retailers wanafaa wawe part of your customers. Tena pia uwe chini kibei kuliko supermarket. Ili wale ‘washamba’ waweze kuja kwenye duka lako.
Kwa hivyo bidhaa zako mpka uchukuwe kutoka kwa wanaotengeneza(manufacturers), distributors(wasambazaji) ama ujiagizie mwenyewe(importation) kama watoa nje kama Kenya. Kila la heri