Natafuta soko la soya beans na Mtama mweupe

Nina tafuta soko la soya beans na Mtama mweupe kiasi chochote ila Biashara kuanzia tani 500 na kuendelea iwe nje ya nchi au ndani popote pale

Haya mmeshindwa natafuta Mwenye mteja Wa karafu,pilipili manga, na mbaazi wasiliana nami 0713 777677

Nimesikia soko kuu la mbaazi na pilipili manga lipo India na China na watu wanafanya abiashara…