Mimi ni kijana wa umri wa kati nataka Mrembo wa kupiga mastori ya town
Awe super akiwa na wowowo fresh zaidi
Hahaha
Muosha masufuria unafika hadi huku???
Nakusalimia mimi jamaniii
Muosha rungu Usiwe na wasi utapata
Umri wa kati ndio umri gani!!
Ni miaka mingapi yaani!!??