natafuta mke mtanzania

kwanza kuweka jambo moja bayana, mimi sina kinyongo na mtanzania yeyote.

Tofauti yetu ni kidogo tu ya kuto elewana lugha.

Ningependa kupata mke kutoka tanzania kwa kuwa watanzania ni watu wakarimu na wapole safi ambazo huku kwetu ni adimu sana.

Kila la kheri mkuu utapata

wahusika mkuje huku!

Hapo kwenye [COLOR=rgb(209, 72, 65)]RED ndipo waliponichanganya, labda ungefafanua kidogo…

nijilipue nn kwa ndugu zetu

una helaa?? maana watz tunapenda helaaa

Sikushauri kabisa maana nisije kujiingiza matatizoni

kiasi cha haja

kiswahili kinatupa matatizo sana

Haha mbona umejitahidi hata hivyo.

Lakini wasichana wengi wa Tz wanapenda Kiswahili cha Wakenya, hasa sheng maana kina swaga fulani…

Inabidi. Methali ipi yaweza endana na juhudi yangu?

duh wakati sisi wa tz tunataka manzi wa kenya kukwepa mizinga

mizinga ya sampuli ipi

Utampata usijali

mara nitumie 5000 ya vocha, mara baby nrushie 30,000 ya saluni, nitumie 20,000 kukodi bajaji, bebi nikope laki 5 ntakulipa mwisho wa mwezi, 15000 ya kuosha nywele, nk
uko kenya vipi nao mizinga iyo ipo?

mbona kiswahili kimenyooka hivi, wewe bila shaka ni mtanzania unatuchora tu

hivi 30,000/= kwa pesa ya kenya ndio shilingi ngapi vilee?

ndio ipo mingi. Mara hii wikendi ninunulie hennesey, nipeleke mombasa wikendi ifuatayo kwa ndege, nichoreshe tatoo ya usher yani mambo ya kishenzi heri hao wa kusongwa nywele.

nilifanya utafiti wa ngeli, na mbinu zingine za lugha kwa siku mbili ili kuandika wakala huo