Naskia Raha mno.

Jamani naskia raha nasia amani hakika nafurahi kuingia tena humu ambapo sisi kama wana Jamii wa hii Forum tulijiunga miaka hiyoo na hakika kadiri nyakati zilivyo pita tumeendelea kuona Jamii Forum ikikua na kuboreshwa kila inayoitwa leo,kwakweli baada yakupata fununu kwamba Jamii Forum inapatikana Kenya Talk nilifurahi na fasta nikaigoogle hatimae nimefika ingawa nilipata changamoto kidogo kwenye kuwa registration neno REcupture…lilinitoa jasho,Mungu ni mwema nikajiunga kupitia Facebook na hatimae nimefanikiwa.

Hongera Max Hongera sana.
Hongera na hongereni nyote pamoja na timu yako ya ufundi na hata Wanasheria wa Jukwaa hili…niseme tu hakika MUNGU SI MWANADAMU HATA ASEME UONGO,Ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU.
NASKIA RAHA SANA NDUGU ZANGU,yani nipo Tanzania lakini Nafsi na Mwili wangu naouna kabisa unakata mitaa flan flan hivi ya Nairobi…
Nawashkuru mno Wakenya Hasa KENYA TALK kwa kukupa (CHUMBA CHA UANI:):)) walau tumejihifadhi kwa muda kutokana na maafriko yaliyo tokea huku shambani kwa bibi linalomilikiwa na CHama cha mapinduzi yaani ccm ambapo Mwenyekiti wake ni stone,yani Jiwe ambalo lililokataliwa likawa Chuma chakavu…yani kila kikitaka kujinyoosha kinakaza…kikijitahidi waapi kinajikaza mwisho Watanzania tumekuwa kama WABABELI,hakuna lugha ya kimaendeleo tuiongeayo ikafanikiwa…Vurugu tu kila kukicha,Mauaji,Utekaji,Wizi wa Fedha Zetu 1.5,unyongaji wa habari,Bunge wamejimilikisha,Bombasweet:p:pnk…kwakweli yani ni Kero kero kuu kwenye hii Nchi.

Hakuna lisilo na mwisho na mwisho wake ni Mbaya zaidi ajuavyo yeye…hakika Mwisho wake ni mbaya mno…ni sawa tu yeye aendelee kujihesabia haki akidhani Watanzania wote hatuna AKILI,
Sikutarajia hakia

MAGUFULI LEO HII AMETUFANYA TUMEKUWA WAKIMBIZI WA NAFSI…YAANI KIMWILI TUPO TANZANIA LKN KIROHO TAYARI TUPO KENYA…TAYARI NI WAKIMBIZI…BADO TU SEHEMU YA MWILI AMBAPO(ROHO NDIO ITIAYO UZIMA ,MWILI HAUFAI KITU)

Mungu awabariki WanaJf wote,
salaam zenu watoto wa mama mdogo wote mliomo huku kwa hila(LUMUMBA FC)

Mkuu max kasema hawaitambui JF ya huku hivyo tumejiunga at our own risk

Potelea mbali huku sitoki kama so wacha iwe so
nashusha nondo tu kama kawa…

Jiwe haliwez shindana na teknolojia aibu

Huu mtandao tutakuwa tunautumia kama back up. kule wakifuta madongo yetu kwa jiwe tunakuja kuachia huku

@frank king sijui ni kwanini nafsi tangu haija kukubali kiviile manake unaonekana kama vile hapa ktalk wewe siyo mgeni pia namna unavyotaka kutulazisha kuwa max melo ndiye aliyeihamishia jf huku wakati hata yeye hana hata makubaliano nao…
Kwa taarifa yako hapa hakuna ndege utakayeweza kumnasa…eti unakuja na trick zako za kumpongeza max na kuwaponda vijana wa buku saba.
Kwangu Mimi pita kuleee…and don’t leave any of your trace.
Dadeki.

Pole kwa kupoteza imani…
Nikweli ukigongwa na nyoka hata unyasi ukikugusa utahisi ni nyoka

Binafsi sina haja yakujiaminisha kwako,kwasabbu naweza jiaminisha nakujitambulisha kwa namna yeyote usiniamini…zaidi ya yote namimi inapelekea nisikuamini kwa namna moja""YESU hakujiaminisha kwa wayahudi kwasabbu aliwajua wayahudi, naam ndivyo yalivyo ujaza moyo wako juu yangu.

Tukomae hapa kwa kipindi hiki, kule kurudi ni muhimu japo itahitaji moyo sana. Mateso yote haya kwa Max ni pamoja na kugomea taarifa zetu; sasa wanaweza wekeana MOU kiaina tukaumia

Au sio

hivi mmegundua kitu kwenye hii nyumba yetu mpya? threads nyingi zinazomponda jiwe hazifutwi

:D:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D

Hata kama ni kweli anajua imehamia huku hawezi kukubali kwa situation ilivyo sasa… akikubali tu kwamba kweli anaitambua ataanza kuulizwa vyeti vyake vya kuzaliwa vya babu wa babu wa babu… mwisho wa siku siyo tuu JF kuhamia huku hata wewe ataamia huku…

Cc: @Mahondaw

Time will tell…

Cc: @Mahondaw

KenyaTalk wajiandae na DDoS attacks kutoka TISS uchaguzi ukikaribia, it’s their thing

Max masello alishakanusha kuwa yeye Bado anapigania kurudi sasa mnapomhusisha ni kumtafutia uraia gani ? Hii Tanzania ya viwonder

Tupo pamoja