NARUDI NYUMBANI TANZANIA KUUNGANA NA JAMIIFORUMS

Napenda kuwashukure kaka zetu na dada zetu kwa kutusitiri kwa kipindi cha taabu za kufungiwa JF, tunawashukuru sana, tunarudi JF maana imefunguliwa na tunaweza kufurahia huduma zake tena . tunawakaribisha sana JF kwa mada mbalimbali zenye kuelimisha. kufurahisha na kuliwaza. kenyatalk daima tutaikumbuka na tutakuwepo huku daima kubadilishana mawazo nanyi maana tumekuwa karibu zaidi baada ya kupata wasaha wa kuwasiliana nanyi kila iitwapo leo.

Natanguliza shukrani zangu kwenu, tutakuwa pamoja daima

Admin funga refugee camp upesi.

ha haaa for what reasons

:Dkiswahili ni ngumu. Tunaomba muende tu nayo. Mnatuumiza

Oh how I waited for this day:D…
Goodbye to my migraines

ha haa but twawapenda wakenya vile wako poa kwa utani na uchangamfu katika mada

but twawapenda sana

Unataka bash

no

Lakini methali wanazo funny.

Sawa Kaka Blaza …
Safiri Salama hadi Bongo …

[ATTACH=full]179808[/ATTACH]

My heart is down and misery…I have to leave my two noble beautiful girls @pseudonym and @Phylgee

I’ll always love you.

nashukuru nakukaribisha JF

Bye… I was never yours though.

sawa sawa ila huku nimepata mengi ambayo yananifanya niwe nasafiri kuja huku

I know it but I was willing to spend my last penny just to make you fall but…@okwonkwo was the only hindrance. (Just kidding)…lol!

I will still love you though.

We can arrange something :wink:

enda pole pole…vile ulikuja…

This is the reason why I love you…huko very flexible and think strategically.

Let’s arrange something sweet then tujibambe hata for a while tu best.

:D:D:D:D @Phylgee please tell me you didn’t fall for the “bebi” talk they do. There isn’t enough money in this world.