NARUDI NYUMBANI TANZANIA KUUNGANA NA JAMIIFORUMS

Uchira 1

Senior Villager
#1
Napenda kuwashukure kaka zetu na dada zetu kwa kutusitiri kwa ***ndi cha taabu za kufungiwa JF, tunawashukuru sana, tunarudi JF maana imefunguliwa na tunaweza kufurahia huduma zake tena . tunawakaribisha sana JF kwa mada mbalimbali zenye kuelimisha. kufurahisha na kuliwaza. kenyatalk daima tutaikumbuka na tutakuwepo huku daima kubadilishana mawazo nanyi maana tumekuwa karibu zaidi baada ya kupata wasaha wa kuwasiliana nanyi kila iitwapo leo.

Natanguliza shukrani zangu kwenu, tutakuwa pamoja daima
 
rexxsimba

Village Elder
#11

Sawa Kaka Blaza ...
Safiri Salama hadi Bongo ...

Kw.jpg
 
Top