https://www.youtube.com/watch?v=YEUfZEIrUko
Kumbuka kusubscribe
Hii ni Bongo Movie?
hd ampige inamaana mtz kashindwa kumchamba huyo mzungu kwa kizungu
safi sana
siangalii kwa kuhurumia bundle langu, lakini wametisha…
Alieangalia bs atusimulie manake mb sikuiz ghali!
Hii ni Bongo Movie, nzuri sana fanya uiangalie
Haha nashkuru boss, fanya kusubscribe kwenye channel yetu to show some love
Haha sio mbaya boss ukipata mb utaicheki tu ila for now, fanya kusubscribe kwenye channel yetu to show some love
Nashkuru Nahuja, fanya kusubscribe kwenye channel yetu to show some love
Haha mlinzi hajui kizungu kaona amalize hasira kwa mswahili mwenzake…fanya kusubscribe kwenye channel yetu boss to show some some love
No, thank you.