Myahudi Jr ameingia

Hodi hodi Wakenya, leo nimejiunga nipate 2 kwa 3, pia niwafundishe lugha kwa ufasaha na nyinyi pia mnifunze kilugha cha kwenu.

Tanzania tunawasalimia

MYAHUDI JR

Pewa kiti kwanza

Nani anakaribisha na mtoaji, aitwe hapa

Keti paaale---------->

What was your former handle

Fcuk off.

Watanzania tuliwaambia mjikomboa kutoka kwa utumwa wa kimawazo. Wewe hata kwenu Bagamoyo hujawahi kutoka, il’hali upo hapa unajiita Myahudi.

Yahudi wa wapi wewe?

Uzi wa umeffii

Wewe mkenya una hasira na mimi kwa kitu gani?? Hama kwa shemeji yako kwanza ndio uje kwangu

Utumwa wa kimawazo mnao nyie, ndio maana mnabaguana kila kukicha mluo/mkikiyu

Mimi ni Myahudi halisi

Akienda mniambie
[ATTACH=full]312633[/ATTACH]

Humbwa tucker tucker ghaseer

Mbwa amefanyaje