Myahudi Jr ameingia

#1
Hodi hodi Wakenya, leo nimejiunga nipate 2 kwa 3, pia niwafundishe lugha kwa ufasaha na nyinyi pia mnifunze kilugha cha kwenu.

Tanzania tunawasalimia

MYAHUDI JR
 
#7
Hodi hodi Wakenya, leo nimejiunga nipate 2 kwa 3, pia niwafundishe lugha kwa ufasaha na nyinyi pia mnifunze kilugha cha kwenu.

Tanzania tunawasalimia

MYAHUDI JR
Watanzania tuliwaambia mjikomboa kutoka kwa utumwa wa kimawazo. Wewe hata kwenu Bagamoyo hujawahi kutoka, il'hali upo hapa unajiita Myahudi.

Yahudi wa wapi wewe?
 
Top