My Last Time Practicing Medicine

I was great medicine man back in the day. Ata kama ningeshikilia hiyo line ningepata scholarship ya kwenda Yale. Vaccine ya korona ningekuwa nayo saa huu.

Siku moja tukitoka shule niikapatana na Kang’ethe akaniambia sister yake mdogo Wairimu ni mgonjwa ako na jinga mato. Ile kutoa maji kwa maskio. Nikajua dawa yake ni kuchokora hio sikio na mkia ya kinyonga (the tail of a chameleon). Sasa kitu saa nane hivi the next Saturday nikatafuta kinyonga kwa miti ya kahawa na nikaenda na kinyonga kwao.

Tukaita Wairimu tukamshika. Wacha wairimu apige nduru,wacha kalie. Saa hio the Great Medicine Man nimeshika kinyonga vizuuri nikikifinya tumbo ndio mkia isimame straight. Kwa harakati za kueka mkia ya kembu kwa skio ya Wairimu mama Wanjau akipita akaona tumeshika Wairimu na kanapiga nduru. Akakuja kuangalia nini inaendelea."Ihii ici ni mwana murarumithia kimbu?"akauliza. Nikashika kinyonga nikakifinya tumbo kikapanua mdomo nikamuuliza,“Nyina wa Wanjau, giki ona gikiri na magego (hii ata haina meno)” Alafu nikachukua kinyonga nikaeka kidole kwa mdomo yake. Nyina wa Wanjau athadire rubu “wuuuuuu Wuuuuu” na akafaint. That day tulichapwa combination na hadi clan ya mama Kang’ethe.

That is the day i lost interest in medicine. People do not respect medical profeshonoos.

This is total UHii

Hii upii imezidi Ile ya Digi

Juvenile mafwi tucker tucker thread

Upii yenye uko nayo hiyo prepuce imejaa smegma unaeza shibisha the whole of Kondele

Hahahaha hekaya iko tops, achana na hao haters hapo juu

apusanik tolongik

welcome home, esteemed honourable member

:D:D:D:D:D:D

:D:D:D:D kali sana

Hii handle na ya patco ni syndicate.The handle is never idle ni kama ya gashui na chifumbitika,lakini hao ni tunajua ni individuals.

Nice one!