My first errands in Meru and Chuka.

I have noted one thing. PSV za huku hupenda kuoverload sana. Zaidi kwanza.

And the thing is, people don’t complain. Wasee hawatambui corona. People are packed like sardines kwa matatu.

Kwanza hizi gari za Meru Nissan Sacco, zote unapata zimebeba excess. I found that to be wierd.

The matatus on that route are driven very carelessly

Mimi nimeshangazwa sana na Matatu za huku. Hata matatu za Nairobi hazibebangi ivo…

Mimi I schooled huko in uni yaani unazusha expecting the other passengers also to support you bonobos wanakuangalia ama unaskia mwingine anasema aende penye ameketi atamsongea:D:D:D…shenzi hao

Are Chuka people Merus?

On Saturday, nilishtuka Shuttle ilikuwa inataka kubeba full capacity. I thought shuttles are spared from this madness? Waaah…

They are meru

Hao wajui hio…it’s a cartel run business…police don’t inspect matatus…locals don’t complain

Hizo ni afadhali,panda za Mekina Sacco ndio utatii,watu watano watano kwa 14 seater

They are arrogant as f*ck. Inakaa coz most senior cops wametoka huko they are above the law. A crackdown moja noma inafaa isetiwe huko.

Ameruca people love each other. There was a day (on Thika rd) a meru bound ‘shuttle’ scratched a VW golf mk iii. So all passengers disembarked to attack the small car driver. The matatu driver had a heightened temper but the luopean driving a German car had none of it. Passengers told he small car driver, “hata sisi ni madereva tuna magari”. So when he challenged them to be driving themselves to the city instead of sweating in a PSV, wakajipea shughuli. When the karao came, he ruled that the ma3 was at fault. He asked for outrageous amount to cover for the repairs. He kept the shuttle on site for about an hour only to tell them hawawezi afford to repair a German and let them go.

Na ingine inatwa Mwungwana sacco mara Memba Sacco or something like that. Zote ni chaos tupu, na locals hawana issue wakibebwa ivo.

I thought wameru ni wasee wakali na wakupigania haki zao.

A colleague of mine mwenye tulikam naye hizi sides observed the same thing. Alishangazwa sana na matatu za Meru.

Shika jaba na blue ice. Kaa na dere. Vaa earphones na hatasumbuana na watu

Thought the same. A journey from Kenol to Embu was about 2 hours long. Stops in every village on the highway.

ukicomplain wanakuita MUKENYE and a host of other unpalatable meru insults. Wanakushukisha wanakuwacha kwa varavara

:D:D:D huko ushago watu hushughulika na shida zingine, kama ukipatwa na bibi ya wenyewe they take it upon themselves to discipline you,
and they can’t get united to demand better services from psvs …bonobo tupu

This is common in many towns away from Nairobi.
Hata vichochoro za Kiambu, mnajazwa 5 per row in a 14 seater. Residents are used to that way of life.
As a guest, complaining will get you nowhere.

Hao bonobo ndio wameuza veve huko Laare wakanunua hizo magari,vijana wa late twenties wako ata na box mbili kwa road na wanaandika vijana roho juu rika yao,hawatambui any system or rules.

Way to go. Infact our youth should not vote for anybody next year. Wakule pesa ya campaign ikimwagwa alafu walale on the day. End of discussion.

We are Merus. I am from Chuka. Dialects tu ndo zinadiffer.