Kuna wimbo fulani wa Taarabu zamani kidogo, sikumbuki uliimbwa na nani kwakuwa sio mpenzi wa miziki miziki ila kipindi hicho ulihit sana kiasi uliteka na kukonga nyoyo za wengi nikiwemo mimi, ambapo hapa nitaeeka baadhi ya maneno yanayosikika ktk huo wimbo ili iwe rahisi kuukumbuka na hivyo mwenye kuwa nao auweke jukwaani.
[SIZE=3]“Nilidhani nimechanda na wewe ni pete yangu, nikawa ninakupenda kukuona u-mwenzanguu…!!” “Kumbe nimefuga donda lilowashinda wenzangu, ukawa wagawa tenda hata kwa rafiki zanguu…!!”[/SIZE]
[SIZE=3]“Si mtu wewe ni sanda, wengi wanapongezana, wanavokugombania kama mpira wa konaa…!!”[/SIZE]
mimi naomb wa kuru james mtoto wa dandu ft madiluu system mamuu, huu wimbo hata uufuate makao makuu ya google huupati og labda kama wameuweka hv karbun, naupenda sana