Mwanaume pendeza na style hizi

Achana na suruali za kitambaa ni za kizee pale ofisini ulipoajiriwa kuvaa sana Jens utaonekana muhuni kwa mabosi wako. Pendeza kwa kutupia suruali Kali za kadeti mashati ya vifungo uliyopunguza kulingana na umbo lako yasiwe yanakupwaya. Chini tupia boot Kali yenye urefu wa kuja juu chini ya goti. Dhamilia kuwa MTU unayependeza kuliko MTU yeyote mahala pako pa ajira na mawazi yako yasikuoneshe wewe ni tozi Bali someone SMART than anyone else

Kiatu unapiga cha leather…

Bila picha,duh!!!

Mumu c unajua we are in fake id but we do it in our real environment

Habari ni Picha

napinga uzi wako maana maana unasema suruali ni nguo za kizee acha hayo watu wanapiga suti za kitambaa ila si suti za kadeti, na suti haijawahi kuwa ya kizee ila mashono na mitindo tuu, keep it i ur mind

Brathee kwani kuna suruali za makaratasi? ambavyo zingine sio za vitamba?

Inapendeza sanas…

Cc: @Mahondaw

hakuna Kapicha love??

Bila picha inakuwa ni kama umeota ndoto tu. Upuss (in kenyan voice)

Suruali za kitambaa ni zile za kwenda kushona kwa fundi au unamaanisha zipi?

Exactly correct

Cheki uvaaji wa nguo hizi unavyonata kwenye mtoko. My fellow boys ama hakika cadet(suruali yenye vitambaa vizito lakini sio nzito kama Jens) ziko poa sana

Hizo chino ambazo unaita cadet ziko nyuma sana kwa sasa hv ukicompare na hizi za vitambaa vyepesi…fanya utafiti yakinifu