Wanakera kuunga kila kitu hata vitu vyenye maudhui ofauti kabisa. Bure kabisa JF TZ
Mada zingine tuwe tunazileta na huku, wakifuta kule inaendelea kubaki huku
Huko kumepoteza ladha
Nadha
Nadhani zingeanzia kwanza huku,kisha zipelkule kule
Hapo sasa itakuwa ni jukumu la muanzisha mada
Bora huku mkuu, kule tumebaki mazoea tu kama wafanyavyo wanandoa
Wazo zuri sana mkuu, naunga mkono hoja
Poa poa mkuu
Pamoja sana mkuu:D
Ndiyo maana mimi najitahidi kuweka huku na kule, maana kuna wakati unaposti kitu halafu baadaye hukioni kumbe wameunganisha…
KINACHO BORE ZAIDI JF UNAPOST HABARI JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO, WAO WAKIONA HABARI IMEKAA KIUCHUMI WANAIPELEKA JUKWAA LA UCHUMI , HAWAJUI KWAMBA JUKWAA LA HABARI MCHANGANYIKO LINA WASOMAJI WENGI WAO WANAKUONA ULIYEPOST POYOYO WANAITOA HUKU WANAIWEKA KULE
kama una issue sensitive leta huku. Kule watafuta au kuificha ndani ndani (kuiunganisha)
Halafu wakorofi, watu wamelalamka weeeeeeeeeeeeeeeeee, wala hawabadiliki.
Naunga mkono hoja
Hao walinzi wakinyaruwanda unafikiri wajinga, watu wako nchi ya watu halafu wajifanye wajuaji, nao wanapenda kuishi na sizani kama hata wao kama wako happy na hiyo hali.
Jf saivi hamna jipya
Anyay, kwa mazingira ya sasa ili waweze kuwa hewani at some point have to surrender their freedom of press!