Muda mwingine afadhali sana hapa kuliko JF TZ

MakinikiA Jr

Senior Villager
#11
KINACHO BORE ZAIDI JF UNAPOST HABARI JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO, WAO WAKIONA HABARI IMEKAA KIUCHUMI WANAIPELEKA JUKWAA LA UCHUMI , HAWAJUI KWAMBA JUKWAA LA HABARI MCHANGANYIKO LINA WASOMAJI WENGI WAO WANAKUONA ULIYEPOST POYOYO WANAITOA HUKU WANAIWEKA KULE
 
#13

Halafu wakorofi, watu wamelalamka weeeeeeeeeeeeeeeeee, wala hawabadiliki.
 
Shungurui

Senior Villager
#15
Hao walinzi wakinyaruwanda unafikiri wajinga, watu wako nchi ya watu halafu wajifanye wajuaji, nao wanapenda kuishi na sizani kama hata wao kama wako happy na hiyo hali.
 
Top