Msaada wa ku unlock simu

Kama kichwa cha habari kinavyosema,nitumie mbinu gani ku unlock simu inayotumia finger print?

Simu gani?

RUDISHA SIMU YA MWENYENAYO.

Tecno k7

Flash simu Mkuu.

Nahitaji kujua yaliyomo,coz kuna info za marehemu napaswa kuzijuwai ili nikamilishe ishu flan

wizi m’baya sana!

Kamfukue marehemu bado fingerprint sensor zinafanya kazi.
Ila pata kibali sehemu husika

Duh we jamaa noma sanaaa

hazitafanya bila damu inayochemka. unless uchukue pattern za kidole na kufanya modification fulani utengeneze umeme bandia wa kidole.

kama adb ilikuwa on its possible kutoa data, au hata kubypass security ya simu, ila sio kazi ya kufanywa na mtu wa kawaida. tafuta mtaalam akusaidie.

Mkuu solution ni ku flash Only, No other alternative.

Looo,