MSAADA WA KAZI

habari zenu wakubwa…poleni na ukimbizi natumaini yatapita
mimi ni binti natafuta kazi kwenye NGO’s au kampuni au popote panapofaa
nimesomea community development, ngazi ya degree napatikana dar es salaam
naamini hapa kuna watu wengi maboss, ma hr…natanguliza shukran zangu za dhati

Kama kweli ni lengo lako,kila la kheri…

ni kweli sina lengo tofauti na hilo… nisaidie

Mkuu mimi siwezi,because uwezo huo bado sijawa nao…ila naamini watakuja wadau wengine

n

nashukuru

kama unapenda police wametangaza pitia website yao

[SIZE=3]jiajiri tu mkuu[/SIZE]

Inawezekanaje ikiwa hana mtaji…???

NMB pia wametangaza nafasi za kazi ingia kwenye website yao

Nafasi za polisi sio kwa watu wa jkt wakujitolea?

hawajafafanua bt wamesema op kikwete.! bt ka vp vigezo vingene unakidhi unaeza ukajaribu tu sio dhambi

mtaji kaka

Msaada jamani bado sijapataa…maisha magumu huku mtaani

Kila la kheri