Anakuja kupeana masharti Kwani ni kwake??Aende akaambie Bwana yake hivyo,kama Hana Bwana Aende akaolewe atoe kiburi huko..Anafaa Kujua heshima ni kama msumeno au highway,huenda pande zote.
Na Pia Bibi Yako Anafaa Kujua akiwa kwako yeye ni Bibi kwanza Kisha mtoto baadae..Mamake akitembea,ajue huyo ni mgeni na ni kama mto,ni kusonga kusonga sio Boarding amekuja huko.. otherwise wasonge wote wakileta kiburi.