Mods Tunaomba JUKWAA LA WAKUBWA......!!!!!!!!

Za asubuhi jamani,

Niwashukuru mods wa KT kwa kuamua kutusitiri huku ugenini wakati tunasubiri hatima ya kwetu nyumbani. Sasa basi nimepitia majukwaa yote kuna Jukwaa naona kama limesahaulika, lile tunalokutanaga “Wakubwa” na kuanza kupeana vitu fulani hivi amazing. Kule kwetu ilikua Jukwaa hili unaingia at your own risk baada ya kutuma maombi kwa mods.

Hili ni ombi tu, hata angalau tuzidi kujisikia kana vile tuko nyumbani kabisa,
Ahsanteni

Halina umuhimu wowote…tafuta alternative ya kufanya upumbav wako

Pumbavu mwenyewe, sengez wewe

Lipo shemela lipo pm @The Tweet akupe access

Oh, ahsante shem wangu,
Kumbe adi huku ni mpaka access eeee?
Mkuu @The Tweet fanya mambo basi

Mie naliona kumbe tayari nina access aiseee

Pole yangu mie nisieliona, nakosa vitu

Mkuu @The Tweet naomba kuwekwa
Huko ndan please wakubwa tutakosa
Mavitus

Umeona eee??

Kabsa mkuu yan tutakosa mazur
Embu mkuu @The Tweet fanya mambo

watu mna roho mbaya , kumbe kuna jukwaa la wakubwa kuanzia jf wengne hatujui, mbona majukwaa kbrbun yote nayafaham ila hlo sijawah hata kuliona? Au ni invisible?. Kuna nini huko wakubwa? Isije ikawa wakubwa mnagawana vipande vya nchi kimya kimya.

Ha ha haa,
Kule kuna mambo fulani hivi amazing, vitu adimu adimu, kuingia ni kwa kuomba ruhusa pia at your own risk

Umelipenda Ntolilo kwa mambo yaliyokuwa kule?

Hapana huko sipandi pagumu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Villagers wa mwanzo waliingizwa bila kuomba access maana ndio lilikuwa linaanza

Aaah kuumbee

Sawa Mtakatifu Ntolilo :p:p:p:p:p

:D:D:D:Dmtakatifu waaapiii

Basi nusu Mtakatifu cheo kikubwa sana hicho usikipige teke :cool::cool::cool:

Thank u:D:D:D