Mod's tunaomba jukwaa la matangazo madogo

Tafadhali sana mod’s tuna omba jukwaa la matangazo madogo ili tuweza kutangaza bidhaa zetu

Admin naomba ongeza jukwaa la sheria.
Pia naomba utafute namna ya kuhakikisha habari mbalimbali za magazetini, TV na Radio zinaandikwa kila siku hii itaongeza hamasa ya jukwaa kuchangamka na kukaribia uhalisia wa JF ya kina invisible. itakusaidia kirahisi kama utapata mods wa kutoka bongo wakusaidie baadhi ya vitu

Mbona hawajajibu!!!