Mod's tunaomba jukwaa la matangazo madogo

#2
Admin naomba ongeza jukwaa la sheria.
Pia naomba utafute namna ya kuhakikisha habari mbalimbali za magazetini, TV na Radio zinaandikwa kila siku hii itaongeza hamasa ya jukwaa kuchangamka na kukaribia uhalisia wa JF ya kina invisible. itakusaidia kirahisi kama utapata mods wa kutoka bongo wakusaidie baadhi ya vitu
 

Top