Mods this is injustice, unfair and uncomfortable.

Mr. Shark

Senior Villager
#42
Good day brother and sisters!

Nawapa hi! Mandugu zangu wote wa Kenya na Tanzania na pia natoa heri ya sikukuu ya Iddi siku maalamu ambayo mtoto mkaidi yule anaeitwa Iddi anakwenda kufaidi. Lol!

Aim ya hii thread ni kutaka kupewa reasons na mods as why thread zetu Wabongo haziwekwi kwenye all thread!? Kwanini tusiwe mixed na ndugu zetu wa muda mrefu wa Kenya!? Ili tuexperience new culture and learn to tolerate other? Mods don't you know that there is richness in diversity? What makes you think we should have our own life in here?

Matter of fact, embracing our similarities and tolerate our differences is what we are longing for as Tanzanians in this kenyatalk forum. The forum has to adjust itself for new lifestyle and culture.

Before Sijaandika mengi sana I would like to know..what's the reasons for separation? What makes you think its no a brilliant idea to let us intermingle?

Aione; Cc @The Tweet
By the way mkuu kwani kule juu kwenye sub-forums zao zingine si unapost tu inakubalika mbona?
 

Top