Mods onesheni Idadi ya Viewers kwenye thread.

Salaam!.

Mods wa Kenya talk mnakazi kubwa yakufanya ili kuendana na kasi yetu Watanzanzania.

Kuna vitu vingi wadau wamejaribu kutoa maoni yao ili either viongezwe au vifanyiwe modification yote no katika kuongeza ufanisi na mvuto zaidi, na hii inatokana na uzoefu wa Jf yetu ile iliyopigwa bann pale home Tz.

Kiukweli nilishazoea na napenda sana ninapoanzisha Uzi wangu nipate kujua watu wanganpi wame View, na napendaga Uzi wangu uanzie 1k views, huwa napata hamasa yakuandika vitu vizuri zaidi vyakufanya wadau wasome.

Mfano wakuu wengine wameomba ianzishwe App ya Kenya talk, baadhi ya Emoji zibadilishwe au ziongezwe nyingine, na maoni mengine mengii.

Tunaomba maoni yote yafanyiwe kazi.

Mkuu umepewa lift tu then unataka kupiga hadi honi!

Naona umeanza hata kubadili radio stations ilhali umepewa lift… tehteehhh

Hmm!.. Baadaye mtaanza kuomba mpewe u-moderator…

Kwani haiwezekani?

Ndio maana ya jukwaa la maoni.

Mbona tayari? Kuna mtu niliona ameomba kuwa moderator

Duh! :oops::oops::oops:…

Wakinipa U-Mod basi #TeamLumumbaBk7 WATAPATA TABU SANA

Mie napenda likes tu ,views hazina umuhimu

:D:D:D