Mis Natafuta u wapi mama?

Wakuu, popote na kokote alipo mis natafita mwambieni namtafuuta. Tulihaidiana kuoana muda mfupi kabla ya jamii forums kuhamia Kenya.

Mpenzi miss natafuta. Kuja huku. Mahali ipo mkononi sijui niipeleleke wapi?

pole sana mkuu ila mie sijamwona pia ila ukimwona mchumba wangu MAMA SABRINA mwambie nimemmiss sana tena sana,

kama sikosei alikula ban

Na huku kuna ban?!

yupo dubai anakula bata

Haahahahah nipo hapa bana halaf mimi sio mchumba wako muone

jamani we ndo MAMA S mchumba wangu wa ndotoni?

Ndip mimi ujue hivyo,niko busy ndio maana waona kimyaa halaf tushazoea jf

sawa mama pole kwa yote majukumu

Bado Anatafuta Kama Jina Lake

wengine wana ID tofauti na JF lakini wapo humu pia

Kama mm tu

Mwe

Mwenyew nilibadili ID jiwe asije kunigundua

kuwa makini hapa uhamishoni watu wamebeba mizigo yao na id za watu pia

Kama ulimpigia nyeto, naomba umlipe chake tafadhali…

Naunga mkono hoja tafadhali

Duhhh…
Ujue ukibadili ID ni kuikosesha nafsi furaha iliozoeleka wallah

Vuta subira mkuu atakuja na ahadi yenu itatimia

Aikula BAN
mods hawakupendezwa na lugha yake…jukwaaa la matangazo wameweka hilo la yeye kula BAN

Itakuwa karudi na ID nyingine