Mgeni wenu

sina uhakika kama nimeshafika naomba kuuliza hapa ndio KT

Bado kidogo, endelea mbele kama kilomita 20 hivi utakuwa umefika…

Haaahaaa. Karibu saaana