Meta imetengeneza Haptic Gloves zenye hisia na uwezo wa kugusa vitu katika ulimwengu wa kidigitali

Tazama Gloves jinsi zinavyo fanya kazi.

https://www.youtube.com/watch?v=jlW6X-SbbuA

[SIZE=7]Meta imetengeneza Haptic Gloves zenye hisia na uwezo wa kugusa vitu katika ulimwengu wa kidigitali


https://www.youtube.com/watch?v=jlW6X-SbbuA
[/SIZE]

…basi the metaverse will be ‘very realistic’ …it will be so good mpaka i forsee metaverse addicts and obesity in future

Hii mijiswahili hatuelewi

Hapa atakuwa mshindani hadi wa makampuni ya Games

Ngoja tukomae nayo tu

siwezi mind kupapasa mateetee ya kahaba aliye danguroni mbali nami

ninawasilisha hela takriban 200

Unamanisha nini chief