MESSI AMEAGA MASHINDANO RASMI

Hivi ndio ameaga mashindano hivi hivi au naota? Sasa sijui atakuwa anasali sala gani jamani, kwamba Nigeria amfunge Iceland, halafu yeye aje ashinde mechi ya mwisho na Nigeria? Halafu Croatia aje amfunge Iceland? Maombi yote hayo Mungu anakusikiliza wewe tu? Kwa hesabu za haraka haraka amekwishaondoshwa!!

Ameshaondoka kama Misri tu huyu!!!

[ATTACH=full]178524[/ATTACH]

Akawasalimie nyumbani,ndevu tu kama stliwaya

Messi atayaaga mashindano bila ya goli

Messi kapigwa Misumari na Manara

jamaa kaloa kabisa…

Yaani ndembendembe!

Ndio maana wanasema akiondoka Barcelona tutamuona different Messi. Catalans built up the team around him and he gets all the credits.

U

Ko sahihi mkuu messi akihama barca hawezi kuwa star tena

Baada ya Iceland kula kichapo Argentina matumaini ya kubaki yamerudi

Messi yuko anaendelea na maombi, eti Croatia amfunge Iceland na yeye amfunge Nigeria!! Yeye na mwenzake Iceland matumaini yao ni 33.3% wakati Nigeria matumaini yake 50%!!

Naweka akiba ya maneno

Tunangoja…maneno yametunzwa…

Hili group limefikia pagumu na busara ya Croatia ni muhimu kwa kila mmoja.

Mkuu ni moja ya makundi yanayochekesha na kusikitisha, mtu akilegeza tu anaenda ambaye hatukumtegemea! Kundi jingine ni kundi la akina Brazil na wenzake!

Kabisa mkuu.

[ATTACH=full]179030[/ATTACH]
pale shabiki uzalendo unapomshinda

Argentina atapita bila taabu yeyote

Pamoja sana mkuu @Hazard cfc