Messi achana mikeka ya watu Hatareee

Hivi kwa upigaji ule wa penati jamani ,nilimuona hata maradona akiitupa siga yake chini kwa hasira

Messi kaniangusha sana. Ile penalt ya kinjombe mji kabisa

Messi early retirement coming soon

mpuuzi sana kyuma yule

kwanini kocha asitumie combination ya dybal, dimaria, messi, higuain? na atumie atumie dimaria, messi, aguero? mimi simuelewi kwakweli

Alishastaafu akarudi tena na mwaka huu inakula kwake

Betting failed.

Not really…

Higuain toa hapo…

Messssss

huwezi kumtoa mchezaji ambae yuko first eleven, aguero sio first eleven ya man city. umeona wameigwa tena

Haha eti Aguero si first 11…kwa huyo first11 ni nan…?

Gabriel Jesus

Aisee unacheki mechi za city kweli