Men's Best Kept Secret

In many land deals nimefanya, there is always one overarching theme. Its a guy (35-50) cashing out of his inherited land. 90%+ of the time inakuwanga hivyo.

So, isipokuwa @Gaza hapa, I have never seen any man admitting that he inherited his wealth. Men are really good at hiding the fact that they inherited their wealth as if its a crime.

I have come to the conclusion that there are very few “self-made” men in KE based on the sheer number of land deals I have participated in. Its not a crime to inherit land lakini wanaume huficha hii information kama bangi and front as “self-made”.

si huwa naskia ni curse kuuza inherited land, hao huwa wanauza maisha yao huendelea aje?

Sio curse. That’s BS. Ni strangers sijui life vile huwapeleka after kuuza. But usually huwa tunapatana tena wakiuza more land for their personal projects.

Waafrica tuko na tabia ya praising the struggle. Ndio unaskia wimbo kama started from the bottom. saahiyo mzungu anasomeshwa na mali ya grandparents. yaani hata ya wazazi haijaguzwa

Vijana hapa kwetu wameuza quarter na 1/8th zao wakanunua bajaj sasa ni kupambana na maisha .
Sijaona even 1 person ame jisaidia . Hence the conclusion that it’s a curse.

kwa hivyo uhuru akiuza ile shamba ya babayake northlands hakuna curse atapata?

results of unplanned for windfall. Haiwezi saidia mtu kama hana mpango

It’s all part of the African self-image problem. Africans customarily want to do things the hard, painful (but not necessarily effective) way, to feel like men. The same thread runs through official bs of erecting many barriers to progress in terms of needless red tape, just to make people’s lives hard. Disclaimer: I’m not encouraging sloth, people should work as hard as needed, but if you have assets, use them, coz life is the real deal. It’s not a rehearsal.

Hiyo pesa hupatana pap! na sherehe, fake friends, mahitaji kutoka kwa relatives, etc.
In 4-6 months mtu amemumunya 0.7m yote ikaisha , mark you the cost of living is very low huku ocha. Sijui huwa zinaenda wapi.

Kidogo kidogo ashaanza kuuza vitu za nyumba: sufuria, woofer, extension cord, timberland fake, na zile kofia hufurahisha @johnpombe.

By then ule mumama walikula pesa pamoja ashamtoroka.

Nduthi kama alinunua haimalizangi mwaka.

Jamaa anabaki kuombanga keg na kutumwa ovyo ovyo hapo kwa bar.

Hii scenario happens alot huko central.

Cousins walipewa yao wakauza started some stupid businesses that failed terribly. sahii wananisumbua mimi AMG ati niwapee sehemu kwa yangu walime angalau familia isilale njaa. nilipwaambia wajibinje kabisa

Wacha njaa iwapige kidogo. You will be amazed how much suffering a human being can endure.

Kuna ma brothers wawili waliuza family house na shamba after their parents died.
So wakapiga sherehe 1 year straight. Vile pesa ilianza kupungua ati wakanunua mathree (shark) ati hiyo ndiyo financial progress.

The mat made losses wakauza sasa ni living from hand to mouth, very literally.
Hiyo curse naonanga ni real.
Ancestral land heri kuwachana nayo roho safi .

If we go by your reasoning, no land transactions will ever take place! The problem with your prescription is using a very small sample to make conclusions. People have sold such land to pay fees and eventually made it. Others have sold to build rentals and now they have steady income, something that idle land could not give.

Lastly, hii mambo ya kusema mtu aliuza shamba akapiga sherehe is an attempt to manage peoples lives. Kwani mnajua alikuwa anauza apeleke pesa wapi? What about if that was the purpose- to drink whiskey before they die ama kupanda ndege to Mombasa or even fck prostitutes

It boils down to financial literacy. You either choose sherehe or keep your money. Can’t have both

@Azor Ahai 5000 kilometers on a your aunt’s suzuki swift, uber driver, sales agent for a land selling company, advertising plots on mt. kenya radio stations, can’t you focus on one hustle?

True i umama ya ku worship the struggle naichukia mi nilishagawiwa shamba na mzae na I have never hidden the fact that i have never lacked since i was young na si maringo bottom line is i did not choose to be born in that family

add crypto trading, academic writing, stocks dealing, rentals construction

THIS is the other side of the coin that I have not experienced in real life.
I always assumed kuna mtu atatumia hiyo pesa vizuri. But nope! Not a single case. Kama uko nayo tuambie. Someone you know, sio hearsay.

Kwanza hao land brokers mwishowe huwa wanauza land yao yote wanaenda kuishi kanairo with funny small businesses that barely make it to the third year. @Azor Ahai might be headed that way.

Mtoto tafutia yeye a cheaper school, ni shule gani hii ina uziwa shamba? Na vile graduates wanalia hakuna yob.

Anyhow, to each his own. Kama title ni yako kwani iko nini? Chukua hizo pesa na utumie. Ama namna gani.

Rustler kama chief inheritor sinanga hii shida. Mimi ni mtu na believe in generational wealth … and therefore I employ compounding wealth management systems as my bottom line strategy. Using “The Rule of 72”: Which is a calculation that estimates the number of years it takes to double your money at a specified rate of return.

We are getting to a stage where masomo pekee haitatosha watoto wetu…lazima uwaacheie kakitu, either biz or land…am glad my old man and grandpa before him foresaw this ages ago.

kuna

kijana rafiki yangu aliuza juu wazazi waliaga akalipa university parallel degree kitambo ile kitu 700k, saa hii ni mwalim na alinunua ingine, how about that?