Wakati alipoteuliwa kwa mkuu wa wilaya walianzisha group lao la WhatsApp, alipoteuliwa mkuu wa mkoa alipongezwa sana kwenye group
Alipochpata kasheshe ya vyeti wengi walijua kuwa ni mwisho wa Bashite, wengi walijitoa kwenye group kuepuka aibu ya kuwa na rafiki kanjanja.
Wale waliobaki kwenye group baada ya Bashite kuambiwa hadharani na mtukufu jiwe akachape kazi, walipewa offer za holiday. Watu walinunuliwa tiketi na cash mpaka US$ 3,000.
Msimuone Mobimba anapiga vigelele kila uchao kumtukuza Bashite. He knows what he is doing.