Mengine msiyoyajua kuhusu Baba Keagan

Wakati alipoteuliwa kwa mkuu wa wilaya walianzisha group lao la WhatsApp, alipoteuliwa mkuu wa mkoa alipongezwa sana kwenye group

Alipochpata kasheshe ya vyeti wengi walijua kuwa ni mwisho wa Bashite, wengi walijitoa kwenye group kuepuka aibu ya kuwa na rafiki kanjanja.

Wale waliobaki kwenye group baada ya Bashite kuambiwa hadharani na mtukufu jiwe akachape kazi, walipewa offer za holiday. Watu walinunuliwa tiketi na cash mpaka US$ 3,000.

Msimuone Mobimba anapiga vigelele kila uchao kumtukuza Bashite. He knows what he is doing.

Mkuu bila rushwa utawala wa CCM ungekuwa umeishia 1995

Mmmh…!!!

Jiwe na bashite wanawafanya wa tz mazobaaa

Aisee

Marufuku kumuhusisha huyu mgumba na uzazi ule wa mbegu za kichina @eclat Huyu hana uza na hawezi kuwa baba kamwe!

mobimba ndio nani

Lemutuz

Tutasikia mengi sana…

Cc: @Mahondaw