Samahani ndugu wajumbe, ingawa nimechelewa kufika…
Naomba kuwakilisha
Ushimen ni wewe kweli? mimi ni @KheriHansen
Mkuu, huyu ni mimi wa ukweli aiseeeee
Karibu mkuu,
Lakini unawakilisha nn
Nawakilisha lugha tatanishi…tehteehhh
:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p
KARIBU UHAMISHONI
Asante sana comrade…
joseverest malaya wako mahondaw yuko wapi?? mbona hujam cc?
Mkuu naona umechanganya mafolder na ma-file aiseeh
let me confess today…i fucked your bitch. kupitia Pm na outings za kimya kimya nikala mzigo…she cheated on you bro. nilikuwa nasikitika sana nilipokuwa namkula that evening…im sorrry bro
hamna…ni wewe na mpua wwako original. na ni ID yako mpya hapa maana inasom “village elder”…huoni sisi wakongwe sinazoma SENIOR VILLAGER??
Usijali sana. Kawia ufike
Nikweli mkuu
Samahani @Ushimen wee ni me au ke? (kwa sauti ya JF ya kule nyumbani mtu anapoingia na kujitambulisha) hahahahahaahahah
Tehteehhh…
Naona ugenini pamenoga
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Ila leo kidogo nimeenjoy, juzi na jana yaani nilijiona mpweke kweli
Taratibu utazowea mkuu