Mchuzi wa samaki aliyeungwa na unga

Mahitaji:
Samaki hasa changu
Kikombe cha chai mafuta ya kupikia
Unga wa ngano vijiko viwili vya chakula
Kitunguu kilichokatwa hasa chekundu
Nyanya iliyokatwa
Chumvi na pilipili

Jinsi ya kupika
Kaanga samaki mpaka abadilike rangi awe hudhurungi kwa mbali
Chukua sufuria kaanga kitunguu mpaka kibadilike rangi.
Changanya unga kwenye kikombe umimine kwenye kitunguu, punguza moto unga usiungue
Changanya viungo vilivyobaki, weka maji vikombe viwili, weka samaki, acha vichemke taratibu.

Mkuu,kama unahitaji KT Mobile app ipo tayari,ila kwa android OS tu

Nimeshaipakua aisee Mkuu.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] na emoj zipo za kutosha aisee.

Mbarikiwe.

Enjoy Your Stay

N

Ngoja na mie niitafute

Kaitafute mwaya.